Habari za Punde

*VODACOM KAZI NI KWAKO YABAMBA U-DOM

 Mabango ya matangazo ya Kampuni ya simu za mkononi Vodacom yakipendezesha katika Barabara za Chuo Kikuu cha Dodoma, ikiwa ni moja ya kujitangaza zaidi, "Ama kwa hakika barabara za U-dom zinavutia hata ukiwa mbali kutokana na mpangilio wa mabango hayo ya matangazo".
Barabara ya kuelekea Jengo la Ofisi za Utawala chuoni hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.