Habari za Punde

&KUKU WATATU WAMPELEKA KUZIMU KIJANA NASIB EXZAVERY, MBEYA

 Marehemu, Nasib Exzavery, akiwa eneo la tukio baada ya kuuawa na wanannchi wenye hasira kali kwa kuvishwa tairi la gari na kisha kuchomwa moto, akisadikiwa kuiba kuku watatu eneo la Shule ya Msingi Mwenge Mkoani Mbeya jana. 
 Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa eneo la tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya

Watoto wa shule ya Msingi Mwenge wakiwa eneo la Tukio.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.