Mwakilishi wa Emmanuel Televisheni na Kanisa la The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey, akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jumla ya shilingi milioni 25/- kwaajili ya kusaidia waathirika wa ajali ya Meli ya MV Spice Island iliyozama katika mkondo wa Nungwi huko Unguja hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu wengi.
Mchango huo uliokabidhiwa leo ikulu jijini Dar es Salaam umetolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo Nabii Themitope Balogun Joshua ambaye anaishi katika Makao Makuu ya Kanisa hilo jijini Lagos Nigeria. Picha na Freddy Maro.
No comments:
Post a Comment