Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zoezi hilo la vitambulisho vya Taifa. Katikati ni Ofisa habari wa NIDA, Rose Mdami.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, baada ya mazungumzo wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zioezi la Vitambulisho vya Taifa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.