Moto ulioanza kuwaka majira ya saa tisa usiku umeteketeza soko dogo la Forest lililopo Forest ya zamani karibu na Chuo cha Mzumbe na Chuo Kikuu huria Jijini Mbeya.
Moto huo umeteketeza baadhi ya vibanda vya biashara baada ya kushindikana kwa juhudi za Zimamoto waliofika eneo hilo dakika 20 baada ya kuanza kwa moto huo na kufanikiwa kudhibiti moto huo ambao umesababisha hasara kubwa.
Baadhi ya vibanda na bidhaa zilizoteketea kwa moto huo.
No comments:
Post a Comment