Balozi wa Brazil nchini Francisco Luz akihutubia wageni waalikwa katika Usiku wa Maadhimisho ya miaka 189 ya Uhuru wa nchi hiyo, Maadhimisho hayo yamefanyika Nyumbani kwa Balozi usiku wa kuamkia leo ambapo wageni mbalimbali walihudhuria wakiwemo Mabalozi na Viongozi wa Serikali ya Tanzania.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini risala ya Mhe. Balozi wa Brazil Francisco Luz wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 189 ya Uhuru wa Brazil iliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini risala ya Mhe. Balozi wa Brazil Francisco Luz wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 189 ya Uhuru wa Brazil iliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Ulifika wakati wa kupiga picha za pamoja na kusalimiana kati ya maafisa Ubalozi na wageni mbalimbali. Hapa wakipozi kwa picha.
Ulifika wakati wa kupiga picha za pamoja na kusalimiana kati ya maafisa Ubalozi na wageni mbalimbali. Hapa mashosti wakipiga stori.
Balozi wa Brazil nchini Mh. Francisco Luz akibadilishana mawazo wa wakilishi mbalimbali waliohudhuria hafla ya maadhimisho ya miaka 189 ya Uhuru wa nchi hiyo nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam ambapo alisisitiza ushirikiano wa dhati kati ya nchi hizi mbili.
Wageni waalikwa wakijisevia Menu wakati wa maakuli.
Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo.
Ofisa Ubalozi (kulia) akiwa na wadau katika hafla hiyo.
Ilikuwa ni furaha tu vicheko mpaka baaaasi.
No comments:
Post a Comment