Habari za Punde

*YANGA YAANZA LIGI RASMI YAIBANJUA AFRICAN LYON 2-1 CHAMANZI

Kikosi cha Yanga
Timu ya Yanga ya Dar es Salaam iliyokuwa ikiendelea kushikilia mkia katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, leo imejing'atua mkiani baada ya kufikisha jumla ya Pointi 6 ilipoichapa timu ya African Lyon kwa mabao 2-1, katika mchezo uliomalizika jioni hii katika Uwanja wa Azam Mbagala Chanazi. Magili ya Yanga yalifungwa na David Mwape katika kipindi cha kwanza na bao la pili likifungwa na Rashid Gumbo, aliyeifungia timu yake akitokea Benchi, huku ba la kufutia machozi la Lyon likipatikana kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.