Habari za Punde

*MIYEYUSHO NA MBWANA WAZIDI KUTAMBIANA MPAMBANO WAO WA JUMAPILI

 Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitambulishwa na mwandaaji wa pambano lao la Jumapili, Mohamed Bawazir, wakati wa mkutano na waandishi wa habari ikiwa ni hatua za mwisho za maandalizi ya pambano hilo la kuwania Ubingwa wa UBO, litakalofanyika jumapili hii. Picha na Rajab Mhamila
Mratibu wa pambano, Mohamedi Bawaziri (katikati) akiwa na mkanda wa ubingwa utakaogombaniwa na mabondia Fadhili Majia (kushoto) na Juma Fundi siku ya jumapili, ikiwa ni moja kati ya mapambano ya utangulizi ya kabla ya mchezo wa 'Ngumi Jiwe' kati ya Miyeyusho wa Kinondoni na Mbwaba wa Temeke.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.