Mama salma Kikwete, amabye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi WAMA, akizungumza na Ujumbe kutoka Marekani pamoja na ungozi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii,baada ya mazungumzo rasmi wakati alipokutana na ujumbe huo leo jijini Dar Es Salaam. Picha na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya WAMA, Zakhia Mehgji (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Global Programs, healthymogination kutoka Marekani, Janeen Uzzeli, kabla ya kukutana na Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) na kuzungumzia jinsi taasisi ya E G itakavyosaidia kutoa vifaa vya tiba vya kuweza kusaidia kupunguza vifo vya kinamama na watoto nchini.
Picha ya pamoja baada ya Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kumaliza mazungumzo na ujumbe kutoka Marekani pamoja na ungozi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii.
No comments:
Post a Comment