Habari za Punde

*NDEGE YAANGUKA NA KUUA BAADA YA KURUKA KUTOKA UWANJA WA KIA

Picha ya ndege iliyo dondoka ikitoka Uwanja wa KIA usiku wa jana ambapo ilikuwa na Pilot aliyetambulika kwa jina la Ally aliyefariki dunia papo hapo pamoja na abiria ambaye amelazwa katika Hospitali ya KCMC kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.