Habari za Punde

*SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI UWT NA MIAKA 50 YA UHURU, KUMKUMBUKA BABA WA TAIFA-MKOANI MARA

       Baadhi ya wanachama wa UWT wakipita na mabango yenye ujumbe mbalimbali wakipita sherehe za maadhimisho ya wiki ya UWT zilizofanyika katika Uwanja wa Mkutno Tarime leo ikiwa ni siku maalumu ya Kumbumbu ya baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyetimiza miaka 12 tangu alipofariki dunia. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
  Hawa ni baadhi ya Waasisi waliowahi kuwa na Nyadhifa mbalimbali katika Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) hapa wakiwa Uwanja wa Mkutano, wakati wa sherehe hizo za maadhimisho hayo yaliyofanyika kwa pamoja na ya miaka 50 ya Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa. Mgeni rasmi katika Sherehe hizo alikuwa ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Kikundi cha Kwaya kutoka CHuo cha Ualimu cha Tarime Mkoa wa Mara wakitoa burudani wakati wa sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.