Mtaalamu wa Mafunzo ya Utengenezaji bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Rose Mrina (wa pili kulia), akiwaelezea wahariri kuhusu zao la shayiri linalotumika kutengenezea bia.
Wahariri wakiwa chumba cha kompyuta zinazotumika kupikia bia katika kiwanda cha TBL,wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari Makao Makuu ya TBL, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wales Maugo na Mnaku Mbani ambaye ni Mhariri wa gazeti la Business Times.
Wahariri wa vyombo vya habari nchini,wakitembelea kiwanda cha bia cha TBL,wakati wa ziara yao.
No comments:
Post a Comment