Menu

Friday, November 25, 2011

*JOSEPH KANIKI NA WILLIAM JOHN KUKIPIGA SWEDEN

William John
 Wachezaji wawili wa Tazania, Joseph Kaniki (Golota) na William John wamefanikiwa kujiunga na timu ya ligi daraja la pili ya Konya Spor (KIF) nchini Sweden, baada ya kufanikiwa kupita katika majaribio (Trials). Majaribio hayo yalijumuisha wachezaji zaidi ya thelathini ambapo wachezaji watano walichaguliwa kujiunga na klabu hiyo ya ligi daraja la pili KonyaSpor (KIF) Habari na www.africa4life.com
Joseph Kaniki

No comments:

Post a Comment