Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akiwapungia mikoni mashabiki wa soka wakati alipofika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo jioni kwa ajili ya kuzindua rasmi michuano ya TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011, ambapo michuano hiyo leo imezikutanisha timu za Tanzania Kilimanjaro Stars na Timu ya Taifa ya Rwanda Amavubi. Kipute hicho kimemaizika kwa timu ya Rwanda kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa katika kipindi cha kwanza na bao hilo kudumu hadi mwisho wa mchezo huo.

No comments:
Post a Comment