Baadhi ya Makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kusubiri kuhudhuria kozi ya makocha iliyotarajia kuanza kesho. Hata hivyo kozi hiyo iliota mbawa baada ya mkufunzi aliyeteuliwa na chama cha ngumi cha dunia (AIBA) kupata dharura na kutofika kuendesha kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpic (TOC) na kuwafanya makocha hao kubaki njia panda bila kujua hatma yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoaihidiwa katika barua ikiwamo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula ambavyo hawajapatiwa na kujitafutia usafiri wa kurejea makwaoPicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
KURA ZA MAONI ZISITUGAWE - SAMINA
-
Wanawake wilayani Ubungo, wametakiwa kuungana mara baada ya kumalizika
zoezi la uchaguzi wa ndani wa kura za maoni za udiwani viti maalum.
Wito huo umetole...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment