Daktari wa Mchezo wa ngumi, Josefu Magesa akiwapima mabondia watakaoshiriki mashindano ya kova Cup yaliyoanza Dar es salaam leo katika ukumbi wa PR hotel zamani IMASCO CENTER mashindano hayo ya siku mbili yanamalizika kesho. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:
Post a Comment