Mabondia wa kike Mariamu Edwer (kushoto) na Matha George wakipambana wakati wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika, Dar es salaam, jana Matha alishinda kwa ponti.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
MESSI AWEKA REKODI MPYA KOMBE LA DUNIA, ARGENTINA YAICHAPA AUSTRIA 2-0
-
TIMU ya Argentina imeendeleza wimbi la ushindi katika Fainali za Kombe la
Dunia baada ya kuichapa Austria mabao 2-0 katika mchezo wa Kundi J usiku
huu Uw...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment