Menu

Wednesday, November 16, 2011

*MASUMBWI YA 'KOVA CUP' YAENDELEA KURINDIMA

Bondia Mussa Mohamedi (kulia) akichapa na kuoneshana ufundi wa kutupa makonde na John Christian wakati wa mashindano ya Kova Cup Dar es salaam jana. Mussa alishinda kwa point. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment