Huyu Jamaa alikutwa na kamera ya Sufianimafoto Reporterjijini Arusha hivi karibuni, akiwa amembeba mbwa wake mgongoni jambo ambalo lilimshanga kila mmoja aliyemuona katika staili hii na alipoulizwa alidai kuwa mbwa wake anaumwa na hivyo alikuwa akimpeleka Hospitali.
Eti kwa maisha ya kawaida ya Waafrika na hasa Watanzania hali kama hii iki sawa? na je waweza kumfikiliaje mtu kama huyu pindi unapokutana naye akiwa katika hali kama hii?
No comments:
Post a Comment