Rais Jakaya Kikwete, akiwahudumia wageni wake kwa wa kamati ya Uongozi ya CHADEMA iliyokwenda kumuona kuzungumzia mchakato wa katiba jana.
Baada ya maongezi marefu yaliyodumu kwa takriban masaa mawili na nusu ambayo hayakuweza kumalizika jana. Rais Jakaya aliwakaribisha na kuwahudumia vinywaji wageni wake kama, Juisi na Chai na Kahaw,a kabla ya kuagana nao kwa furaha na kuwaomba warejee tena leo Ikulu kwa ajili ya kumalizia mazungumzo hayo. Picha na Ikulu
Tundu Lissu, akijisevia....
Rais Jakaya, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.....
Baada ya mazungumzo hayo, Rais Jakaya aliagana na wageni wake, hapa akiagana na John Mnyika, Mbunge wa Ubungo.
Rais Jakaya, akiagana na Tundu Lisu.
Tundu Lisu, akitoka kwenye Viwanja vya Ikulu kwa furaha baada ya mazungumzo hayo.
No comments:
Post a Comment