Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Taifa Stars, Jan Poulsen, akiwa hoi akishika kiuno baada ya mpira kumalizika na timu yake kulala kwa bao 1-0 dhidi ya Chad katika mchezo uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo sasa timu ya Taifa Stars imefanikiwa kupenya katika michuano hiyo ya hatua ya awali ya mtoano kutinga kwenye makundi ya kushiriki katika kundi C lenye jumla ya timu nne za Ivory Coast, Morocco na Gambia, kuelekea fainali za Kombe la Dunia zinazotarajia kufanyika 2014 nchini Brazil.
Kiungo Mshambuliaji wa Stars, Nizar Khalfan, akijiandaa kupiga kona wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment