Habari za Punde

*VODACOM YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA FAINALI ZA SHINDANO LA TIKISA

  MenejahudumanaBidhaawaKampuniyasimuzamkononiya Vodacom Tanzania, Elihuruma Ngowi, akionyeshaTV9 ambayo ni moja ya zawadi zitakazotolewa kwa washindi wawili wa kwanza  katika fainali za shindano la TIKISA litakalofanyika mwishoni mwa wiki na udhaminiwa na Vodacom (kushoto) ni Meneja wa Power House, Octavian Francis.
  Meneja huduma na Bidhaa wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, Elihuruma Ngowi akiaonyesha zawadi mbalimbali za simu za mkononi kwa washiriki waliofanikiwa kuingia katika fainali za shindano la TIKISA, Hellen Mangare, Hawa Mohamed, Hassan Said na Daniel Tobias wakati walipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Kampuni ya simu za mkononi Vodacom Mlimani City Dar es Salaam leo mchana.
Meneja wa huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Bi. Edith Ezekiel akifafanua jambo kwa washiriki waliobahatika kuingia katika fainali za shindano la TIKISA, kuhusu huduma kwa wateja zinavyoendeshwa wakati walipotembelea Makao Makuu ya Ofisi hizo Mlimani City ambapo Fainali za shindano hilo zitafanyika mwishoni mwa wiki .

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.