Baadhi ya Washiriki wakiwa katika mkutano wa wadau kutoka sekta binafsi ya kuwashirikisha katika kuchangia mradi wa Pamoja Tuwalee unaofanywa na Taasisi ya WAMA pamoja na FHI kwa lengo la kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini. Mradi huo unafadhiliwa na na msaada kutoka Marekani (USAID) .ni mradi wa miaka 5. Mradi wa Pamoja Tuwalee unaendesha shughuli zake katika ukanda wa pwani kwenye wilaya 25 ziliopo katika mikoa ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro na Zanzibar. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment