Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati) akikabidhi tiketi ya daraja la economy ya kutoka Dar es salaam kwenda Dubai na kurudi kwa mmoja wa washindi waliobahatika katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ubalozi wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na shirika la ndege la Emirates katika kusherekea kumbukumbu ya miaka 40 ya uhuru wa nchi yao. Anayeshuhudia pembeni ni Meneja wa Emirates Tanzania Bwana Abdul Aziz Al Hai.
DKT MWIGULU: VIONGOZI WA DINI ENDELEENI KUTOA ELIMU YA UMOJA NA AMANI
-
_Atoa wito kwa Watanzania kuhimiza umoja na amani_.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini
kuendelea kushirikiana na Serikal...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment