Mtandao huu wa Sufianimafoto unayo furaha kubwa kuwatakia heri na fanaka wafanyakazi na viongozi wote wa Clouds Media kwa kutimiza miaka 12 tangu kuanzishwa kwa kituo cha kurushia matangazo ya Redio na sasa Clouds TV. Hongereni sana wana wa Clouds Ujumbe wangu ni Leweni Kazi, Msilewe Sifa, chapeni kazi.
SADC YAHIMIZA MAGEUZI YA VIWANDA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA UKANDA
-
Na Ramadhani Kissimba, Durban
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezitaka nchi wanachama
kuongeza kasi ya utekelezaji wa ajenda ya maendeleo...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment