Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi, Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Kambi ya Ilala kwa ajili ya kujiandaa na mapambano yao yatakayofanyika kabla ya mchezo kati ya Matumla na Osward, Desemba 25. Picha na R. Mhamila
SERIKALI KUPITIA REA KUZINDUA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI
-
📌Kituo cha Kupoza Umeme Mtera
📌Mradi wa Kusambaza umeme katika vitongoji 9,009
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua ...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment