Rais Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya kumalizika kwa mkutano wa viongozi wa nchi maziwa makuu ambao wameridhia kupinga ukatili wa kijinsia katika nchi za maziwa makuu wakati wa kilele cha mkutano wa nchi hizo leo katika hoteli Speke Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje ya jiji la Kampala

No comments:
Post a Comment