Mvua ya Dakika 15 iliyonyesha katika Manispaa ya Mkoa wa Iringa jana, imesababisha mtafaruku mkubwa na kuzua kizaa zaa baada ya baadhi ya wakazi wa Manispaa hiyo kuyahama makazi yao kwa muda kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.
Baadhi ya Wananchi wa mtaa wa Frelimo wakiwa nje ya nyumba zao baada ya kujaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mfululizo kwa takriban dakika 15 jana na kuleta mafuriko makubwa.
No comments:
Post a Comment