Novemba 26, 2011 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama Amiri Jeshi Mkuu aliwatunuku Kamisheni wanachuo wa Chuo cha kijeshi cha Monduli Mkoani Arusha.
Peter akiwa mmoja wa wahitimu hao anapenda kuwashukuru wote ambao walioshiriki katika kumsaidia kwa namna moja ama nyingine mpaka amefikia hatua hiyo, zaidi anapenda kumshukuru Dada yake Esther Mbapila pamoja na Mr Mbapila kwa kushiriki katika mchakato wote mpaka akafanikisha kupata alichokihitaji.
ASANTENI
No comments:
Post a Comment