Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Viongozi wa Chama cha CUF, walipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusu mustakabali mzima wa uandwaaji na sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta na kuandaa Katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF,Machano Khamis Ally. Picha na Ikulu
Wakisoma dhamira yao ya kufika Ikulu hapo.
Wakikabidhi waraka wao kwa Rais.
Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment