Menu

Saturday, December 17, 2011

*SAFARI LAGER YAANZA RASMI TAMASHA LA NYAMA CHOMA

Tamasha kubwa la Nyama Choma lililopangwa kufanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam,  limeanza leo na kuwashirikisha wachomaji kibao kutoka Baa mbalimbali katika Viwanja hivi vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam, pichani ni katika banda la Rose Garden likiwa tayari limeivisha nyama,

No comments:

Post a Comment