Menu

Friday, December 2, 2011

*ZIARA YA SIKU MOJA YA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI GEORGE W.BUSH NCHINI TANZANIA

 Rais Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa ziara ya Rais Mstaafu wa Marekani, George W Bushi, walipotembelea katika Hospitali ya Ocean Road katika Kitengo cha Kituo cha Utafiti wa Kansa leo. Picha zote na Ikulu
 Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Marekani, George W Bush, wakati wa ziara hiyo.
 Picha ya pamoja ndani ya Hospitali hiyo wakati wa Ziara.
 Rais Jakaya Kikwete na George Bush, wakitembelea katika Wodi ya wagonjwa Hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment