Menu

Saturday, January 14, 2012

*ABIA NA GODFREY WAMEREMETA JIONI HII

Bwana Harusi, Godfrey Kibaha na Bi Harusi Abia Richard, wakipozi kwa picha katika Ufukwe wa Sine Club jioni hii baada ya kufunga ndoa yao takatifi katika Kanisa la KKKT Kijitonyama leo. Wapendanao hao hivi sasa wanaendelea na sherehe ya ndoa yao katika Ukumbi wa Cassa Mikocheni. 

No comments:

Post a Comment