Mkuu wa Kitengo cha Kompyuta Mwandamizi kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionyesha mashine ya Selcom Gaming, wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, uliofanyika jijini Dar es salaam jana. Mashine hizo ziitwazo ‘Selcom Pay points’, zitatumika kwa wahitimu wa kujitegemea wa kidato cha nne (CSEE) na Maarifa (QT ) .Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, Juma Mgori. Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:
Post a Comment