TAARIFA zilizotufikia katika mandao huu wa sufianimafoto, muda huu zinasema kuw Mbunge wa Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Jeremia Sumari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hopitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa Kansa ya kichwa. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amina
Serikali Iko Macho: Mbibo Awatia Moyo Watumishi Ofisi ya RMO Mara
-
-Asifu Kasi ya Makusanyo ya Maduhuli
-Mara yafanikiwa kukusanya Tsh bilioni 112.61, sawa na asilimia 107.25 ya
lengo la kipindi husika
-Ahimiza Uzingatiaj...
29 minutes ago

No comments:
Post a Comment