Mwamuzi wa mchezo Nemes Kavishe akimuinua mkono juu bondia, Francis Cheka, baada ya kuibuka mshindi kwa kumchapa Kalama Nyilawila kwa Pointi, katika pambano lao lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Bondia Francis Cheka (kulia) akichapana na Kalama Nyilawila wakati wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro jana.
No comments:
Post a Comment