MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi wa habari wa Mkoani Iringa, Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini ya Sh. 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin kila mmoja.
Baada ya hukumu hiyo, Watuhumiwa wamelipa faini hiyo ya Sh. 50,000 kila lakini mlalamikaji huyo Francis Godwin, aligoma kupokea pesa hizo na kuamua kusonga mbele kwa kukata rufaa kwa kutoridhika na hukumu hiyo isiyolingana na uharibifu wa vitendea kazi vyake.

piece of shit..sirudi tena kwenye blog yako..sio jera ni jela..idiot
ReplyDelete