Huyu ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari Manzese, wakati alipowatembelea jana na kukuta wakijisomea huh wakiw wamekaa chini. Hii ni Sekondari na si Msingi, Je mzazi anayelipa ada kwa mwanawe anayesoma shule hii anajisikiaje?
KAMA HUNA UWEZO USIOMBE KAZI ILALA - DC MPOGOLO
-
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amewataka wakandarasi wenye nia
ya kuja kuomba kazi katika Wilaya hiyo kuhakikisha kuwa wana uwezo wa
kufany...
13 hours ago

No comments:
Post a Comment