*JK AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS WA GAMBIA IKULU, DAR
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia na Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh, Mh Lamin Kaba, ambaye alimletea ujumbe kutoka kwa Rais huyo Ikulu jijini Dar es salaam jana. PICHA AN IKULU
No comments:
Post a Comment