Msimamizi wa mazoezi ya Mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo Sinza makaburini, Bernald Lumbila (kulia) akimfanyisha mazoezi Bondia, Kalama Nyilawila, wakati wa mazoezi ya Bondia huyo anayejifua ikiwa ni sehemu ya maandalizi yake kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka, pambano linalotarajia kufanyika Januari 28 mwaka huu, mjini Morogoro. Picha na Super D

No comments:
Post a Comment