*KOZI YA UKOCHA WA NGUMI YA KIMATAIFA INAENDELEA KWA VITENDO KIBAHA MKOA WA PWANI
Baadhi ya Makocha wa Mchezo wa Ngumi nchini wakifanya mazoezi kwa vitendo wakati wa kozi ya kimataifa ya mchezo huo kwa makocha inayoendelea katika shule ya Filbert Bayi Kibaha Mkoa wa Pwani.
No comments:
Post a Comment