Msanii wa muziki wa Kizazi kipya nchini, Diamond (kulia) akiwa nje ya Mahakama y Mjini Iringa, asubuhi hii wakati akisubiri kupandishwa kizimbani kujibu shitaka linalomkabili dhidi ya Mwadishi wahabari wa mkani humo, Francis Godwin, baada ya msani huyo kumharibia vitendea kazi siku za hivi karibuni mkoani humo.
Mdhamini wa msanii Diamond, Edo Bashir (kushoto) akizungumza na mwandishi Godwin, ambaye ndiye mlalamikaji wa kesi hiyo, wakati wakiwa nje ya Mahakama wakisuiri kupanda mahakamani leo asubuhi
No comments:
Post a Comment