Menu

Tuesday, January 10, 2012

*PICHA YA LEO TAFAKARI BAADA YA KUSOMA

Mkazi wa Unguja, akisoma bango lenye ujumbe ambao unahamasisha wananchi wa Visiwani humo kutoshiriki mchakato wa katiba mpya, kama lilivyokutwa bango hili katika Mtaa wa Sokomhogo 'Jos Corner'. Je ni wazo la mmoja ama mawazo ya wengi? 

No comments:

Post a Comment