Kituo cha Daladala cha Kibaha Maili Moja kikiwa kimeegemea upande wa nyuma kikikaribia kabisa kuanguka jambo ambalo li hatari kwa abiria wanaokaa katika kituo hicho kusubiria usafiri. Haikuweza kufahamika chanzo cha vituo hivi kuharibika na kubomoka taratibu na kisha mwisho wa siku unakikuta hakina kabisa mabati wala vyuma vinavyokisapoti kusimama. Wahusika wekeni mikakati ya kuwanasa waharibifu wa miundombinu hii.
WATUMISHI WA UMMA WASISITIZWA NIDHAMU NA UADILIFU KATIKA KAZI
-
*Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
‘Mei ...
6 hours ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment