Mchungaji Ambilikile Masapila 'Babu kikombe' akiwa na mmoja wa wadau wake Mpigapicha wa Gazeti ya Changamoto, Albert Jackson, alipomtembelea katika ofisi zake zilizopo katika kijiji cha Semunge Loliondo. Hivi sasa babu yupo katika mchakato wa kujenga kituo kikubwa ambacho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi wengi kwa wakati mmoja.
VIJANA NA WAJIBU WA KULINDA AMANI KAMA MTAJI WA MAENDELEO YA TAIFA
-
Vijana wana jukumu kubwa la kulinda amani ya nchi, kwani wao ndio nguvu
kazi ya Taifa na viongozi wa kesho. Kwa wingi wao, ubunifu wao na ushawishi
wao ...
13 hours ago
No comments:
Post a Comment