Kwa kawaida Ofisi yeyote maalum iliyo na iliyo na siliasi katika kazi zake nazani hata katika kazi zake pia inatakiwa iwe siliasi katika matangazo yake ama maelekezo yake. Sasa tangazo kama hili linalotangaza Ofisi muhimu kama hii na ukakuta limeandikwa kwa mkaa ama kalamu ya Maka Pen je Mdau utaamini kufika katika ofisi kama hii ili utimiziwe shida zako? Bango hili kama lilivuokutwa na kamera ya sufianimafoto katika eneo la Kilimani mjini Dodoma leo.
UVCCM YAKEMEA VITENDO VYA UCHOCHEZI YAPONGEZA MARIDHIANO
-
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) limepitisha
maazimio matatu makubwa likiwemo la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa
uo...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment