Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata 'Rado' (wa pili kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule msingi ya Buguruni Viziwi, jijini Dar es salaam wakati alipowatembelea watoto hao jana. Msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushirikiana na kampuni ya Steps Entatainment (kushoto) ni Ibrahim Mbena. Picha na Super D
Siasa : Zahara Michuzi Ajitosa Mbio za Ubunge wa Viti Maalum (UWT) Tabora
-
Zahara Michuzi, mmoja wa watumishi wa umma waliopitia majukumu makubwa
serikalini kwa miaka kadhaa, amejiunga rasmi katika kinyang’anyiro cha
ubung...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment