Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Festus Mogae, wakijiandaa kukata keki ya sherehe hizo katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Botswana leo. Picha Zote na Ikulu
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Festus Mogae, wakiwa chini ya mti wa Marula ambako miaka 50 iliyopita BDP ilizaliwa.
. Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Bw Festus Mogae, wakimwangalia Rais wa zamani wa Botswana akiwasha mwenge chini ya mti wa Marula palikoanzishwea BDP.
Rais Jakaya na Rais wa Botswana wakipita katika gari la wazi wakati wakiingia uwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment