Habari za Punde

*UUZWAJI WA MAFUTA YA KIDEBE BARABARANI NI HATARI

 ''Karibuni mafuta ya Kidebe''
Chupa za maji za lita moja aina ya Uhai zikiwa zimejazwa mafuta ya Petroli Lita moja moja na kuanikwa juani pembezoni mwa Barabara ya Chalinze-Bagamoyo, ambapo huuzwa kwa Sh. 3,000 kila chupa moja. Pamoja na kuwarahisishia madereva wa Pikipiki na baadhi ya magari wa maeneo hayo na wale wanaopatwa na dharura, laiki bado ni hatari mafuta kuuzwa kwa nia hii na hasa ukizingatia huwekwa juani muda wote na huku chupa hizo zikiwa zimefungwa bila kuwa na hewa, ambapo huweza kulipuka ghafla na kusababisha maafa.
Ya Kidebe tele kama yalivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.