• Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Mazingira
  • Jamii
  • Siasa
  • Bunge
  • Habari Picha
  • Michezo
  • Burudani
SUFIANIMAFOTO

Habari za Punde

Home *COW BELL YADHAMINI MICHUANO YA NGUMI WILAYA YA TEMEKE

*COW BELL YADHAMINI MICHUANO YA NGUMI WILAYA YA TEMEKE

sufianimafoto Friday, March 16, 2012
 Katibu wa Chama cha mchezo wa ngumi Wilaya ya Temeke,  Ali Mchumila (katikati)  akimkabidhi flana ya wadhamini wa michuano ya ngumi ya Wilaya ya Temeke CAW BEll, Makamu mwenyekiti wa Mpira wa Kikapu Nchini , Phares Magesa, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Bondia Harid Kibavu (kushoto) akichuana na Mahafudhi Swai, wakati wa pambano lao lililoandaliwa na Chama cha mchezo wa Ngumi Wilaya ya Temeke, Dar es salaam jana, Kibavu aliashinda Kwa Pointi.
 Mabondia Hamadi Omari na Thomas Son wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mashindano yaliyoandaliwa na chama cha mchezo wa Ngumi TEMEKE. Picha na Super D
   Kocha wa Mchezo wa ngumi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akimsindikiza Bondia Ibrahimu Class wa Kambi ya Amana kwa ajili ya kupanda jukwaani kucheza Jana.

 
  • Blog Comments
  • Facebook Comments

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

MATANGAZO MADOGO MADOGO

MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com

BLOGU RAFIKI

  • LENZI YA MICHEZO
    JICHUNGUZE, TAIFA KWANZA AMANI SIYO MANENO NI KAZI: Polisi yawatahadharisha tena Vijana - Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kali na la wazi kwa wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu na uharibifu kwa kisingizio cha ‘m...
    3 minutes ago
  • JIACHIE
    MWENEZI PWANI : HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA IMETOA DIRA YA MATUMAINI KWA TAIFA LETU - Na Khadija Kalili, Kibaha KATIBU Katibu wa Siasa ,Uenezi na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani Dkt. David Mramba amesema kuwa hotuba ya Mh...
    1 hour ago
  • MTAA KWA MTAA BLOG
    MWENEZI PWANI : HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA IMETOA DIRA YA MATUMAINI KWA TAIFA LETU - Na Khadija Kalili, Kibaha KATIBU Katibu wa Siasa ,Uenezi na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani Dkt. David Mramba amesema kuwa hotuba ya Mh...
    1 hour ago
  • MICHUZI
    MWENEZI PWANI : HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA IMETOA DIRA YA MATUMAINI KWA TAIFA LETU - Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Pwani Dkt. David Mramba. Na Khadija Kalili, Kibaha KATIBU Katibu wa Siasa ,Uenezi na Mafunzo Chama Cha Ma...
    1 hour ago
  • Wazalendo 25 Blog
    Habari : Afrika yatakiwa kuongeza Wanahabari mahiri wa Sayansi kuchochea Ubunifu na Maendeleo - Na Veronica Mrema, Pretoria Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Afrika Kusini, Profesa Blade Nzimande, amesema Bara la Afrika linahitaji kwa kiw...
    1 day ago
  • PAMOJA
    TBN YATOA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOSAMBAZWA MITANDAONI KUHUSU MKUTANO ULIOFANYIKA IKULU - * Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) Unatoa Ufafanuzi Kuhusu Mkutano wa Ikulu Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) unapenda kutoa ufafanuzi rasmi na ku...
    1 week ago
  • LUKAZA
    TBN yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mkutano wa Ikulu - *Dar es Salaam.* Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) unapenda kutoa ufafanuzi rasmi na kuweka mambo wazi kufuatia taarifa zisizo sahihi na zinazoleta ...
    1 week ago
  • BIN ZUBEIRY
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA NIGER ZANZIBAR KUFUZU KOMBE LA DUNIA - TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana ilichapwa bao 1-0 na Niger pungufu katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 Uwanj...
    2 months ago
  • TZA
    Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025 - Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini ke...
    9 months ago
  • BongoCelebrity
    - [image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio] Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio alt=”” class=”w...
    2 years ago
  • HABARI NA MATUKIO
    BODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI - * Mhandisi Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Moses Salumbi (kushoto), akiweka alama za ukomo wa maji ya mafuriko kwenye Maziwa ya Kindai na...
    5 years ago
  • Mzuka wa Fungo
    MSANII DIAMOND AZINDUA WIMBO WA COLOURS KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI - Cathbert Kajuna To:amichuzi,othmanmichuzi,MUHIDIN MICHUZI,Geofrey Adroph Bcc:fungoomar@yahoo.com May 15 at 6:00 AM Msanii Diamond akipagawisha mashabiki wa...
    7 years ago
  • MTOTO WA KITAA
    RAIS JOHN MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA JCA NA BALOZI WA JAPAN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shini...
    8 years ago
  • NASMAMAFOTO
    JOSE MOURINHO HAS REPORTEDLY 'SHOKED' SOME OF HIS MANCHESTER UNITED PLAYERS - *Jose Mourinho might have hoped for a longer honeymoon at Manchester United, but three defeats in a row, in the space of a week, have led to the first maj...
    9 years ago
  • Mbeya Yetu
    TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI - Je? Unaumwa au unasumbuliwa na matatizo yoyote kiafya? Unahitaji msaada wa haraka, tuna virutubisho sahihi kuondoa magonjwa kama kisukari, presha, uvimb...
    9 years ago
  • Bongo Newz Corner
    DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE' - Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo ambal...
    10 years ago
  • NEW HABARI BLOGSPOT.COM
    SIMBA ILIPOWASHANGAZA MASHABIKI WA SOKA JANA,ILIPOCHOMOA MABAO 3 NA KULAZIMISHA SARE YA 3-3 - * Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akiwania mpira na kipa wa Simba Abel Dhaira, wakati wa kipindi cha pili cha mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanza...
    12 years ago
  • Maisha Yetu
    -
  • MTANZANIA HALISI
    -
  • K-VIS BLOG
    -
  • Saluti5- Tanzania
    -

WALIOTEMBELEA BLOG HII

Followers

Labels

  • BUNGE
  • Burudani
  • HABARI PICHA
  • Habari
  • Michezo
  • Siasa

Zilizosomwa Zaidi

  • TUWAPE FARAJA FAMILIA ZENYE WATOTO WENYE USONJI, TUSIWATENGE -JACKLINE MJEMA
      Mwandishi na Mtunzi wa Vitabu, Jackline Christopher akionesha kitabu chake cha All the Colors I See baada ya kukizindua mapema wiki hii am...
  • TAMASHA LA KARIAKOO FESTIVAL LAZINDULIWA DAR NMB WAISHIKA KARIAKOO
    Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Toba Nguvila (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, A...

SUFIANIMAFOTO Mafoto Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.